Mkurugenzi wa Tanzania SME Growth Center VICTOR TESHA amesema ili makundi maalumu ya vijana na kina mama waweze kushiriki kattika kuinua uchumi wanapaswa kupewa mikopo ya riba nafuu. Akiyazungumza hayo wiliyani Moshi Vijijini mwishoni mwa mwezi wa kumi na moja ndugu Tesha alisema kituo chake kimejipanga kuhakikisha vijana na kina mama wa Tanzania wanawezeshwa kimtaji.

Alisema SME imekuja na mikopo Mipya ambayo kina mama na Vijana waliopo kwenye Vikundi vya kuanzia watu 10 watakopeshwa mikopo ya vifaa kulingana na mradi wanaotaka kuunzisha. Amewataka vijana na kinamama kuchangamkia Fursa hiyo kwani ni mkpo wenye riba nafuu sana kuwahi kutolewa nchini ambapo wakopaji watarejesha kwa riba ya asilimia 5% ya mkopo walioukopa.

Mkurugenzi wa SME Victor Tesha Akiwaelekeza baadhi ya wananchi waliohudhuria semina maalumu ya ujasiriamali wilayani Moshi Vijijini.

Mkurugenzi wa SME Victor Tesha akiwaelekeza kinamama kwenye warsha namna ya kujikwamua kiuchumi wilayani Moshi Vijijini.

Mkurugenzi wa SME akipata maelekezo ya baadhi ya changamoto zinazowapata kina mama katika harakati za kujiletea maendeleo Wilayani moshi vijijini

Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo wakifuatilia maelekezo kutoka kwa mkurugenzi wa SME Victor Tesha.

Washiriki wakisikiliza kwa makini Mkurugenzi wa SME Victor Tesha.