EDODOEDOOOOOOOOEDODOEDOOOOO
Baadhi ya picha za Waziri Mkuu mtaafu Edward Lowassa alipohudhuria sherehe za kuwatunuku vyeo maofisa wa jeshi Monduli jana.